Piere ashindwa kuchagua kati ya pombe na mke

Mchekeshaji Piere Likwidi

Mchekeshaji Piere Likwidi amesema hawezi kuacha kunywa bia kwa sababu watu wengi wamemjua kwa 'style' hiyo ya unywaji ila endapo itatokea mke wake atamkataza basi atajaribu kumsikiliza ili kuona kama itawezekana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS