Simba, Yanga na Azam mzigoni Kombe la Shirikisho
Michuano ya kombe la shirikisho nchini kwa msimu huu inataraji kuendelea mwishoni mwa juma hili kwa michezo 32 ya mzunguko wa tatu ambapo vigogo vya soka nchini, Bingwa mtetezi wa kombe hilo klabu ya Simba, Yanga na Azam vikitaraji kucheza kati ya tarehe 25-27 mwezi huu.