Kushoto ni Jokate Mwegelo na kulia ni marehemu mzee Urban Costantine Ndunguru.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo leo Disemba 20, 2020, ametoa ujumbe kufuatia kifo cha baba yake mzazi mzee Urban Costantine Ndunguru ambaye amefariki dunia Disemba 19, 2020.