Onyo kali kwa madalali Dar es salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge amepiga marufuku tabia ya baadhi ya masoko kupangisha vizimba kwa madalali kisha madalali hao kuwapangishia wananchi kwa bei ya juu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS