Shilole arudiana na mpenzi wake wa zamani Kushoto ni picha ya Shilole na Rommy enzi hizo na kulia ni Shilole kwa sasa Imefahamika kuwa msanii Shilole yupo kwenye penzi zito na mpiga picha aitwaye Rommy, ambaye ni mpenzi wake wa zamani lakini waliachana miaka 11 iliyopita. Read more about Shilole arudiana na mpenzi wake wa zamani