Ndinga mpya aliyopewa 20 Percent yaleta utata
Ni 'updates' za msanii wa kwanza wa BongoFleva kuchukua tuzo 5 mfululizo kwenye usiku mmoja 20 Percent ambaye amezua sintofahamu kutokana na majibu yake kuhusu gari aina ya Harrier aliyopewa kuitumia kwa sasa.