Kinachoendelea kwa S2Kizzy baada ya kuvamiwa

Producer S2Kizzy

Producer S2Kizzy amefunguka kinachoendelea kwenye kesi ya kuvamiwa na kushambuliwa studio kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni sungusungu kwa kusema wapelelezi wanaendelea na uchunguzi pia kuna watuhumiwa tayari wameshakamatwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS