Aliyekuwa mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Tundu Lissu
Aliyekuwa mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, ametaka chama chake kuendelea kuhubiri demokrasia huku akisisitiza maadili ya chama yazidi kuimarishwa.