Kisa Fredy Sponsa amuachia Nai kwa Moni yake Picha ya pamoja ya Official Nai na Mone Centrozone Sponsa amuachia Nai kwa Moni yake ni 'comment' ambayo ameiandika shabiki baada ya msanii Moni Centrozone kushea 'cover' ya wimbo mpya wa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Official Nai. Read more about Kisa Fredy Sponsa amuachia Nai kwa Moni yake