Mwinyi abaini madudu kwenye hospitali,atoa miezi 3
Rais wa Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuutaka uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha watendaji wake wote wanatambulika kwa majina mara moja ili wanaokwamisha huduma wajulikane.