Nyota wa Houston Rockets, James Harden ambaye anatajwa atatimka klabuni hapo.
Nyota wa Houston Rockets, James Harden amekataa ofa ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka miwili zaidi huku akifungua milango ya kujiunga na Brooklyn Nets kwa msimu ujao.