"Akitoka Kiba na Simba wewe ndiyo mfalme" - Marioo
Kikitoka kizazi cha msanii Alikiba na Simba wewe ndiyo mfalme, hiyo ni kauli ambayo ameitoa msanii wa BongoFleva Marioo kumwambia msanii mwenzake Aslay Isihaka ikiwa ni ishara ya kumpa heshima na kukubali anachokifanya.