Wasafirishaji nyama kwa bodaboda kusajiliwa sasa
Kaimu msajili wa bodi ya nyama, Imani Sichwale, amesema Bodi ya Nyama imejipanga kuandaa utaratibu wa usajili wa wabeba nyama kwa njia ya pikipiki au bodaboda kutoka katika machinjio hadi kwenye mabucha mbalimbali ya nyama nchini.