Mo Dewji amaliza utata kuhusu Chama na Mukoko Chama, Mo Dewji na Mukoko Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji, amethibitisha kuwa mchezaji Clatous Chama, amesaini mkataba wa miaka miwili zaidi na klabu hiyo. Read more about Mo Dewji amaliza utata kuhusu Chama na Mukoko