Kazi ya Uwaziri Mkuu haina dhamana -Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaambia wananchi na viongozi kuwa kazi ya uwaziri mkuu haina dhamana huku akisema ili waziri mkuu Kassim Majaliwa abaki kwenye nafasi hiyo kwa muhula wote itategemea na utendaji wake.