Swali la Chama lajibiwa na Barbara na Mwana FA
Kiungo wa klabu ya soka ya Simba Clatous Chama, leo Novemba 15, 2020, amezua mjadala mwingine kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kupandisha picha kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha kuambatainisha na swali.