Kocha wa AC Milan akutwa na Corona

Stefano Piloli amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona

Kocha wa AC Milan ya Italia Stefano Piloli amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona, klabu hiyo imethibitisha leo Jumamosi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS