Serikali Kuboresha vitambulisho vya Wajasiriamali

Pichani mfano wa kitambulisho cha wafanyabiashara ndogo ndogo)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kipindi cha miaka mitano ijayo serikali yake itaboresha vitambulisho vya wajasiriamali ili kuwawezesha kupata mikopo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS