Makusu ni mali ya Orlando Pirates

Makusu Mundele akiwa katika mkutano na waandishi wa habari

Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini imekamilisha usajili wa mshambuliaji Makusu Mundele kutoka AS Vita ya Congo kwa mkopo wa mwaka mmoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS