Roma kuhusu sakata la Chama kwenda Yanga
Msanii wa HipHop Bongo anayeishi nchini Marekani kwa sasa Roma Mkatoliki, ameiambia timu yake ya Simba waseme ukweli ili mashabiki wa timu hiyo wajiandae kisaikolojia kama mchezaji wao Clatous Chama atajiunga upande wa watani wao Yanga.