Liverpool kama 'sikio la kufa lisilosikia dawa' Beki wa kati wa liverpool na timu ya Taifa ya England Joe Gomez ambaye amepata majeraha makubwa Beki wa kati wa liverpool Joe Gomez, ameripotiwa kupata majeraha makubwa katika mwili wake, hivyo anatazamiwa kukaa nje kwa muda mrefu. Read more about Liverpool kama 'sikio la kufa lisilosikia dawa'