NCCR Mageuzi yataka Muafaka wa Kitaifa

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia

Chama cha NCCR Mageuzi, kupitia kwa Mwenyekiti wake James Mbatia, kimewataka wananchi kuunga mkono juhudi zao za kutafuta muafaka wa kitaifa ili kulinda maadili na misingi ya taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS