Kidato cha Pili waanza mitihani, NECTA yatoa onyo Wanafunzi wakiwa darasani, picha kutoka mtandaoni. Jumla ya watahiniwa 646,148 wamesajiliwa kufanya upimaji wa Kitaifa wa mitihani ya kidato cha pili kwa mwaka 2020, ambayo imeanza leo Novemba 9 Tanzania bara na itamalizika Novemba 20. Read more about Kidato cha Pili waanza mitihani, NECTA yatoa onyo