Mashabiki ruksa Tanzania Vs Tunisia

Watazamaji watakaoingia uwanjani kwenye mchezo kati ya Tanzania na Tunisia ni asilimia 50 ya uwezo wa uwanja wa Benjamini Mkapa

Shirikisho la mpira wa miguu barani afrika CAF limeruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa afrika AFCON 2021 kati ya Tanzania na Tunisia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS