Alichokisema Mwinyi Zahera juu ya Simba na Yanga
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera ameponda mbinu za kujihami za kocha Cedric Kaze ambazo anadai ndizo zilizosababisha wanajangwani kutopata ushindi dhidi ya wekundu wa msimbazi Simba katika dabi ya Kariakoo iliyochezwa siku ya jumamosi iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1.