Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde.
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza ratiba ya mitihani ya kidato cha pili ambayo itaanza kesho Novemba 9 hadi Novemba 20, 2020 katika shule za sekondari 4948 Tanzania Bara.