Janjaro amnyooshea mikono Young D, wamaliza bifu
Ni 'Updates' kutoka kwa wasanii wa HipHop Bongo Dogo Janja na Young Dee ambao wamekata mzizi wa fitna kwa watu ambao walidhani wana tofauti au bifu kufuatia maneno ambayo yalikuwa yanasemwa kuhusu wao.