Mtoto wa miaka mitatu anusurika kufa
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Okechi Onesphalis, mkazi wa eneo la Bunena, mkoani Kagera, amenusurika kifo baada ya nyumba aliyokuwa amelala kuteketea kwa moto jana jioni Novemba 8, 2020, akiwa ndani peke yake, wakati mama yake mzazi akiwa nje akiendelea na shughuli za utafutaji mali.