Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12

Job Ndugai, Spika wa Bunge la 12.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limemchagua mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, kuwa Spika wa Bunge la 12, baada ya kupata ushindi wa kura kwa asilimia 99.7.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS