Majaliwa ataka maeneo haya yatengwe
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa ujenzi wa karakana ya utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni unaoendelea katika eneo la Kwala mkoani Pwani nakutaka mkurugenzi kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli maalum.