MOROGORO: Walinzi wadaiwa kupewa silaha mbovu

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani humo, kufanya ukaguzi wa kampuni zote za ulinzi na kutoa taarifa ndani ya miezi 3, kwa madai ya uwepo wa kampuni zinazofanya udanganyifu, ikiwemo kuajiri na kutoa silaha kwa walinzi ili hali hawawezi kuzitumia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS