Sababu ya Mchungaji Bushiru kutoroka Afrika Kusini Pichani Mchungaji Bushiri Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri ametoroka Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwezi huu kwa kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha. Read more about Sababu ya Mchungaji Bushiru kutoroka Afrika Kusini