Maalim Seif na Mwinyi wapiga kura Zanzibar
Wagombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt Hussein Mwinyi na Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari wamepiga kura hii leo visiwani humo, huku kila mmoja wao akiwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura.