Mzee Yussuf ajitolea kumfundisha Qur'an Ben Pol
Mkali muziki wa Taarab hapa nchini Mzee Yussuf amempongeza msanii Ben Pol kwa uamuzi wa kubadilisha dini na kuwa muislam kisha ameahidi kujitolea na kumsaidia kumfundisha Qur'an ambapo ndani ya wiki mbili atakuwa ameshaijua na kusoma.