Kisa Uchebe Zee Cuty amuomba msamaha Shilole
Msanii Zee Cuty amemuomba msamaha Shilole kufuatia picha na video zinazo-trend mitandaoni zikimuonyesha akikumbatiana na aliyekuwa mume wake Uchebe kwa kusema jambo hilo hakufanya kwa kiki wala kusudio lake sio kumuumiza.