Pambano la magwiji lawadia, Juventus kumvaa Barca

Mchezo wa Juventus dhidi ya Barcelona

Msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ulianza wiki iliyopita, ambapo michezo ya mzunguko wa kwanza hatua ya makundi ilichezwa. Mchezo wa magwiji uliokuwa ukisubiriwa umewadia, safari hii ni Juventus dhidi ya Barcelona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS