Tume yashauri haya kuelekea siku ya uchaguzi

Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Daniel Kalinga

Ikiwa yamesalia masaa machache ya kufikia siku ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua vongozi nchini Tume ya Taifa ya Uchaguzi, imesisitiza wananchi kuzingatia mambo muhimu yatakayomuwezesha kupiga kura ikiwemo kuwa na kadi ya mpiga kura.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS