Wananchi wa Temeke wapima macho bure Pichani ni zoezi la upimaji macho Manispaa ya Temeke imeandaa zoezi la upimaji macho bure na wale watakaobainika kuwa na matatizo watapatiwa ushauri na madaktari na wengine ambao wanaweza kupatiwa matibabu watatibiwa papo kwa hapo. Read more about Wananchi wa Temeke wapima macho bure