Simba na Yanga kuhamia uwanja wa Uhuru

Simba na Yanga zimekuwa zinautumia uwanja wa Mkapa kwa mechi zao za nyumbani na sasa vitatumia Uwanja wa Uhuru

Bodi ya ligi Tanzania bara TPLB imetangaza kufungwa kwa viwanja viwili kwa mechi za ligi kuu ambavyo ni Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na Jamhuri jijini Dodoma mpaka taarifa nyingine itakavyotolewa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS