Simba yatoa ufafanuzi huu hapa kuhusu Mkude
Uongozi wa klabu ya Simba, umesisitiza kwamba John Bocco na Mohamed Hussein Tshabalala ndio manahodha wa mabingwa hao wa nchi licha ya kutovaa kitambaa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting siku ya jumatatu.