JPM ampa ahadi nono Nassari, naye aomba msamaha

Kushoto ni mgombea urais kupitia CCM Dkt John Magufuli na kulia ni Joshua Nassari.

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Magufuli, amemuahidi aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia, CHADEMA, Joshua Nassari, ambaye kwa sasa yupo CCM kuwa atampa kazi kwa sababu ni kijana anayejitambua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS