RC Kunenge awahakikishia wananchi usalama
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya fujo siku ya uchaguzi ambapo ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama.