"Mimi Bungeni sijawahi kuitikia ndiyo"- Mwambe
Wagombea wawili wa Ubunge wa majimbo ya Ndanda na Tandahimba, waliokuwa vyama vya upinzani na kuhamia Chama cha Mapinduzi, (CCM), Cecil Mwambe na Katan Ahmed Katan, wameeleza machungu waliyokuwa wakikumbana nayo wakati wakitaka kuwatumikia wananchi wao.