Maagizo ya NEC kwa vyama vya siasa kuhusu mawakala
Mwenyekiti wa Tume wa Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu kuhakikisha leo Oktoba 21, 2020, vinakabidhi orodha ya mawakala wa vyama vyao kwa wasimamizi wa uchaguzi.