Killy amkumbuka Alikiba na Kings Music
Msanii wa Konde Gang Official Killy ameikumbuka lebo yake ya zamani Kings Music Records kwa kusema hajafuta na hawezi kufuta namba za wasanii aliowaacha kwenye lebo hiyo kwani bado ni familia yake ila kilichobadilika ni kuhamia upande mwingine katika harakati za kimuziki.