Koeman aweka wazi juu ya kilichomuondoa Suarez

Kocha wa Barcelona, Ronald Koeman akiwa mazoezini na kikosi chake.

Kocha wa klabu ya Barcelona, Ronald Koeman amesema kuwa Luis Suarez angeweza kukaa Barcelona kumthibitishia kuwa amekosea badala ya kuhamia Atletico Madrid.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS