Ndugai akwazwa na Zitto Kabwe, ahoji alichonufaika
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amehoji mwenendo na sababu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe,kuandika barua Benki ya Dunia ili Tanzania ikose fursa ya kupewa mkopo wa elimu kwa sababu ya tofauti za sera