Waliosajili kwa vitambulisho sio vyao kuondolewa
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA),kwa kushirikiana na watoa huduma itafanya zoezi la kuhakiki laini zote na kuwaondoa wale waliosajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya watu wengine au kitambulisho tofauti, pamoja na kuwachukulia hatua za kisheria.