Waziri ataja maeneo hatarishi kukumbwa na Corona
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali imebainisha maeneo hatarishi zaidi kukumbwa na maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mafua ya virusi vya Corona kuwa ni viwanja vya ndege vya Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), Kilimanjaro, Mwanza na Bandari ya Dar es Salaam.