Chuchu Hansy atoa sababu za kumkwepa Ray Chuchu Hansy akiwa na Mpenzi wake Ray Kigosi Msanii wa filamu nchini Chuchu Hansy, ameeleza kwanini huwa anakwepa maswali ambayo yanamhusu mpenzi wake na Baba wa mtoto wake, Vincent Kigosi ama Ray. Read more about Chuchu Hansy atoa sababu za kumkwepa Ray